Tovuti ya RootsTech ina taarifa na rekodi za vipindi vilivyopita.
RootsTech ni tukio la kimataifa la historia ya familia ambapo watu wa umri wote wanajifunza kugundua, kushiriki na kusherehekea uhusiano wao wa kifamilia kupitia teknolojia. RootsTech ina kitu kwa ajili ya kila mtu, bila kujali uzoefu wako katika historia ya familia au kiwango chako cha ustadi katika teknolojia.
Kwa taarifa za hivi karibuni zaidi kuhusu RootsTech, tembelea tovuti ya Rootstech.